Muda mwingine tunahitajika kufanya utalii wa ndani ili kufahamu rasilimali za nchi yetu, basi nasi tukaamua kutembelea 'Mwitongo' Butiama alipozaliwa muasisi wa Taifa letu Hayati Mwl. Julius K. Nyerere ili kufahamu historia na mazingiza ya Butiama.
TULIPATA NAFASI YA KUFIMA KATIKA HIMAYA YA CHIFU JAPHET WANZAGI
Nyumba ya Mwl. Nyerere aliyokuwa akiishi mwanzoni |
Mke wa Chifu Japhet Wanzagi akitoa maelezo kuhusu himaya hiyo huku mkurugenzi wa Imara Foundation akisikiliza kwa makini sana |
NYUMBANI KWA CHIFU JAPHET WANZAGI
Katibu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) Jumanne Magiri na Mke wa Chifu wakiteta jambo fulani |
BARAKA ZA WAZEE NI MUHIMU SANA
" Leo nitawabariki kila mmoja wenu haya karibuni sana wajukuu zangu" |
KARIBU MWITONGO WANA IMARA FOUNDATION
Watumishi wa IF wakiongozwa na mdada ili kupata maelezo kamili ya Mwitongo. |
Humu ndipo alipo lala Mwl. Nyerere |
KILA MTUMISHI ANA HAMU YA KUPATA KUMBUKUMBU NZURI
MWENGE WA UHURU ULIWASHWA HAPA
TULIPATA NAFASI YA KUWEKA MASHADA KWENYE KABURI LA MWL. NYERERE
Mkurugenzi wa IF Loti Misinzo na Samwel Mewama wakiweka shada la maua katika kaburi |
TULIPATA NAFASI YA KUTOA MAOMBI YETU
BAADA YA UTALII TULIPATA FURSA YA KUONGEA NA KIJANA WA NYERERE (MADARAKA NYERERE)
Madaraka Nyerere akisiliza presentation yetu toka kwa Mkurugenzi wa IF |
BAADA YA MAZUNGUMZO YA DAKIKA 20 HIVI TULIPIGA PICHA YA PAMOJA
TUPO MUSOMA BAADA YA BUTIAMA (TEMBO BEACH)
ILIKUWA SAFARI YA MAFUNZO SANA KWANI ILIONGEZA ELIMU YA MAMBO MENGI KWA WATUMISHI NA KULETA HARI NA NGUVU MPYA YA KUHUDUMIA JAMII.
"SIMAMA PAMOJA KATIKA JAMII"
No comments:
Post a Comment